Good news kwa watu wa Mwanza imetangazwa na TFF leo

Siku kadhaa zimepita toka club ya Dar es Salaam Young Africans ikataliwe na shirikisho la soka Tanzania TFF kuutumia uwanja wa CCM Kirumba katika mechi dhidi ya MC Alger iliyochezwa April 8 uwanja wa Taifa kwa kigezo kuwa uwanja huo hauna vigezo.

Kwa kawaida mechi za kimataifa zinaruhusiwa kuchezwa katika viwanja vyenye viwango na vilivyoidhinishwa na FIFA na CAF  lakini CCM Kirumba haikuwa imepitishwa hivyo Yanga kushindwa game vs MC Alger CCM Kirumba.

Good news ikufikie aliyoitangaza leo Rais wa TFF Jamal Malinzi kupitia ukurasa wake wa twitter ni kuwa CAF na FIFA wameupitisha uwanja wa CCM Kirumba utumike katika mechi za kimataifa, hivyo timu za Tanzani zitakuwa na uhuru wa kutumia uwanja wa Taifa au Kirumba.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s