FULL VIDEO: Navy Kenzo walivyo-perform Club Barbie Israel

Navy Kenzo ni kundi la muziki kutokea kwenye ukoo wa bongofleva, ni wakali wengine wa Tanzania ambao wanazimiliki headlines hata nje ya mipaka ya Tanzania, sasa wasanii hao wawili wapo nchini Israel kwaajili ya show zao na April 13, 2017 walitoa burudani ya nguvu katika Club iitwayo Barbie iliyopo Tel Aviv Israel, itazame hii video hapa ujionee.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s