Taarifa inayozidi kusambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu golikipa wa timu ya MC Alger ya Algeria Fawzi Chaouchi inawezekana kuwa pigo kwa MC Alger na njema kwa YangaFawzi Chaouchi ameripotiwa kuhukumiwa kwenda jela miezi sita ikiwa siku chache zimesalia kabla ya kucheza game ya marudiano vs Yanga nchini Algeria.

Kwa mujibu wa mtandao wa dzbreaking.com umeripoti kuwa Fawzi aliyecheza game ya kwanza ya MC Alger vs Yanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam na Yanga kushinda kwa goli 1-0, amehukumiwa kwenda jela miezi sita na faini ya DA 50.000 kwa kosa la kugombana na polisi.

Fawzi anadaiwa kuwa alipishana lugha kugombana na polisi February 27 baada ya mechi lakini taarifa hizo kuna tetesi za chini kwa chini zisizo rasmi zinadaiwa kuwa sio za kweli na MC Alger wanajaribu kucheza na mindset ya Yanga ili waifunge katika mchezo wa April 15 2017.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s