VIDEO: “Naogopa kupanda ndege” – Nikki wa Pili

Staa wa Bongofleva kutoka WEUSI Nikki wa Pili ameeleza namna anavyohisi pindi anapoutumia usafiri wa anga baada ya kusema kuwa amekuwa muoga sana wa kupanda ndege ingawa amekuwa akisafiri nayo mara nyingi.

Stori ya Nikki wa Pili inafanana na ile ya staa wa zamani wa Arsenal na Uholanzi Dennis Bergkamp ambaye alipewa jina la utani Non-Flying Dutchman kutokana na hofu ya kupanda ndege.

Ayo TV na millardayo.com imepiga stori na Nikki wa Pili ambapo kati ya mambo aliyoyatolea ufafanuzi ni kuhusu woga aliokuwa nao kwenye usafiri wa ndege.

“Ni kweli mi naogopa kupanda ndege vibaya mno. Nimeshapanda mara nyingi sana, lakini ni kitu ambacho nakiogopa, sijakizoea. Mi nina hofu ya kupanda ndege, siwezi kusema uongo.” – Nikki wa Pili.

Bonyeza play kutazama…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s