VIDEO: Couples mbili zilizoshinda kwenda Ngorongoro na TTB

April 13 2017 washindi wa shindano la Talii na TTB lililokuwa limeandaliwa na bodi ya utalii Tanzania kwa kushirikiana na Clouds Media, wamesafiri leo kuelekea katika hifadhi ya Ngorongoro kutalii kama ambavyo washindi walikuwa wameahidiwa awali.

Couple mbili ndio zimefanikiwa kushinda na kwenda kutalii katika hifadhi ya Ngorongoro na Oldvai Gorge, washindi wa shindano hilo walipatikana kwa kutuma picha zao katika instagram ya @wonderfultanzania na picha zilizopta likes nyingi ndio wakachaguliwa kuwa washindi

Cheki video waki ianza safari ya Serengeti na Bonde Ngorongoro

                                     
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s