PICHA : Tukio la mlipuko lililosababisha game ya UCL ya Dortmund kuahirishwa

Usiku wa April 11 2017 mchezo wa robo fainali ya UEFA Champions League kati ya Borussia Dortmund dhidi ya Monaco uliahirishwa kwa sababu za kiusalama, hiyo inatokana na Borussia Dortmund kushambuliwa saa chache wakiwa wanaelekea uwanjani kwa ajili ya game hiyo.

Tukio hilo la shambulio lilitokea Ujerumani kwa mujibu wa mtandao wa BBC News imeripoti kuwa shambulizi hilo linahusishwa na kikundi cha Islamist kutoka Syria na mchezaji Marc Bartra ndio mchezaji pekee wa Dortmund aliyeumia katika tukio hilo na amefanyiwa upasuaji.

Marc Bartra alifanyiwa upasuaji wa mkono wake usiku wa April 11 baada ya kuvunjika mfupa kutokana na tukio hilo, Marc Bartra mwenye umri wa miaka 26 amekuwa mchezaji muhimu wa Dortmund akiwa kaichezea timu hiyo katika michezo 30.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s