VIDEO: Ufahamu muda sahihi ambao Polisi wanaruhusiwa kumkamata mtuhumiwa

jAILED.jpg

Huenda watu wengi wakawa hawajui kuhusu sheria mbalimbali, wajibu na haki za msingi ambazo mtu anakuwa nazo hasa wakati anapofuatwa na Polisi wakati wa kumkamata au anapofikishwa kituo cha Polisi.

Leo April 11, 2017  Wakili wa kujitegemea na Mwanasheria wa Haki za Binadamu, Jebra Kambole imekutana  na Ayo TV ambapo moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu haki za raia na mamlaka waliyokuwa nayo Polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa ili kuwa na uhakika kama anayekamata ni Polisi au la.

Bonyeza play hapa chini kutazama ili kujua haki na wajibu wa raia pindi anapokamatwa na Polisi na mamlaka waliyonayo polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa.

Play

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s