UEFA viwanjani leo Aprili 11

Ukiwa bado unakumbukia mechi zilizo chezwa jana hasa ile kali ya Premier League ambayo walicheza Asernal Vs Cystal Palce ambapo Asernal ililazwa kwa magoli 3 kwa nunge.

Leo itakua ni usiku wa UEFA ambapo zitakutana timu nne viwanjani tukishuhudia mtanange wa >>>

Juventus Vs Fc. Barcelona 

New Picture (2)

Kwa rekodi ya mechi 5 za nyuma 

Barcelona imeweza Kushinda Mechi 3 na kushindwa mechi 2, huku Juventusi wakishinda mechi 3, Droo 1 na wameshindwa 1

New Pictue

Borussia Dortimund Vs Monaco

Dot vs Monaco

Record ya mechi 5 za nyuma 

Dortimund wameweza kushinda mechi 3, Droo 1 na wakashindwa 1, huku Monaco kushinda mechi 4 na kushindwa 1 tu.

New Picture (1)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s