Joh Makini atoboa kwanini Davido ana mzuka zaidi na kolabo ya wimbo wao mpya

Msanii wa muziki wa hip hop, Joh Makini amefunguka kwa kueleza sababu ya Davido kuwa na mzuka na kalabo ya wimbo wao mpya.
17495319_1343817099038163_3665939665866719232_n-1024x1024

Joh Makini amedai labda Davido ana mzuka na kalabo hiyo kwa kuwa yeye ndiye aliyeitafuta.

“Mimi naona ni kwasasabu alikuwa excited sana kufanya kazi na mimi, halafu wakati wa kufanya hii ngoma yeye ndiye aliyekuwa wakwanza kuniapproach mimi. Kwa hiyo nafikiri ni mtu ambaye alinifuatilia na akaupenda muziki wangu ndiyo maana hata chemistry imekuwa nzuri na tumefanya kitu kikubwa,” alisema Joh Makini.

Rappa huyo alisema tayari wameshashoot video ya wimbo wao mpya na muda wowote wataichia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s