INSTAGRAM;- “Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi” – Professor Jay

Siku chache baada tukio la watu wasiofahamika kumteka rapa Roma Mkatoliki na wenzake watatu kisha kuwapeleka mahali kusikojulikana na baadaye kuonekana, tukio hilo limezidi kuongeza hofu na mashaka kwa watu mbalimbili.

April 11, 2017 kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Mikumi na staa wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameonesha wasiwasi wake juu ya matukio hayo…


professorjaytz
Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi sio kwa sababu watu wabaya wana nguvu sana BALI ni kwa sababu watu WEMA wanakaa kimya na kuacha kukemea mambo mabaya –

New Picture.jpg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s