Alichokisema Madee kuhusu kuishabikia Arsenal

Inawezekana mwaka 2017 ukawa ndio mwaka mgumu kuliko yote kwa Arsenal katika kipindi cha miaka 20 kutokana na mwenende wa timu hiyo, mashabiki wa Arsenal kwa sasa wamekuwa wakitaniwa kufuatia matokeo mabovu ya timu yao.

Mashabiki wengi wao wa Arsenal wanashinikiza kocha Arsene Wenger aondoke kutokana na timu hiyo kwa zaidi ya miaka 10 imekuwa ikisikia tu taji la EPL, huku mafanikio yake makubwa ikiwa ni kupata nafasi ya kushiriki katika Champions League kila mwaka, usiku wa jana Arsenal ilifungwa mechi ya nne mfululizo ya ugenini kwa mara ya kwanza ikiwa chini ya Arsene Wenger.

Usiku wa jana Arsenal ilifungwa goli 3-0 na Crystal Palace kitendo ambacho kilifanya mashabiki wa Arsenal kuanza kutaniwa na kuchekwa akiwemo msanii Madee aliyekuwa akipostiwa na watu na msanii mwenzake Izzo Business, leo Madee ameandika kupitia instagram yake “Naipenda Arsenal !! Na sijutii na sijawai kujuta kuisapot Arsenal!! 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s