VIDEO: Simba ilivyobadilisha matokeo vs Mbao FC dakika za mwisho Mwanza

Kama shabiki wa soka la Bongo leo Ligi Kuu Tanzania bara iliendelea kama kawaida kwa michezo miwili kucheza katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kati ya Mbao FC dhidi ya Simba mchezo ambao umemalizika kwa simba kupata ushindi wa magoli 3-2.
Magoli ya Simba yalifungwa na Fredrick Blagnon aliyefunga magoli mawili dakika ya 83 na dakika ya 91 kabla ya Mzamiru Yassin kufunga goli la ushindi dakika za nyongeza, wakati magoli ya Mbao FC waliyokuwa wanaongoza mchezo huo kwa magoli 2-0 hadi dakika ya 82 magoli yao yalifungwa na Sangija dakika ya 18 na Bernald dakika ya 33.
Ushindi huo sasa unairudisha Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa kuizidi Yanga kwa point mbili lakini wapo mbele kwa mchezo mmoja, Simba sasa wana jumla ya point 58 wakati watani zao wa jadi Yanga waliyokuwa na kipiro cha mchezo mmoja wana jumla ya point 56.
Angalia magoli yote ya mechi kupitia MillardAyo & Ayo Tv, bofya hii picha hapa chini
C9EI-oEXsAA2Y7R.jpg
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s