VIDEO: Hat-trick ya Adebayor akiichezea Başakşehir vs Galatasary

Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kuichezea Arsenal, Man City na Tottenham Hotspurs za England Emmanuel Adebayor ameirudisha timu yake ya Istanbul Basaksehir katika mbio za kuendelea kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Uturuki msimu huu kwa kuisaidia kuifunga Galatasaray usiku wa jana.

85c4c

Adebayor ambaye alikumbwa na kipindi cha mpito na kuachwa na vilabu vya England amerudi katika kiwango na kuifungia timu yake hat-trick katika ushindi wa goli 4-0 wakiwa nyumbani katika uwanja wao wa Basaksehir Fatih Terim, Adebayor alifunga magoli kuanzia dakika ya 11 na dakika ya 44 na 57 akafunga magoli mawili ya kichwa.

Sare dhidi ya Karabukspor  na kupoteza dhidi ya Akhisar Belediyespor kuliifanya Istanbul Basaksehir iachwe kwa gape la point nane dhidi ya Besiktas wanaoongoza Ligi kwa point 61, hivyo hat-trick ya Adebayor katika ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Galatasaray umefufua matumaini ya mbio za Ubingwa wakiwa wamebakia na michezo 7 Ligi Kuu Uturuki imalizike na wao wana point 56.

Cheki magoli aliyofunga Adebayor katika mechi bofya hapa Ayo Tv

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s