Mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake

Mtangazaji Geah Habibu kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM, leo April 10 2017 ametuletea Heka Heka inayotokea Kigogo jijini Dar es Salaam ambayo inamuhusu mtoto wa kike kubakwa na kaka yake.

Mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitano anadaiwa kufanyiwa udhalilishaji huo na kaka yake wa kuzaliwa tumbo moja mwenye umri wa miaka 13 ambapo amekuwa anawahadithia majirani kila anapofanyiwa kitendo hicho.

Majirani hao wamekuwa wakiifikisha taaifa hiyo kwa mama yake lakini wanashangazwa kutochukuliwa kwa hatua zozote mpaka pale Mjumbe alipompeleka huyo hospitali ambako aligundulika kuwa na michubuko huku mama akidai mtoto huyo ana fangasi.

Sikiliza maelezo kamili kupitia Radio Clouds Fm pofya hapa Clouds FM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s