Mtanzania anayecheza Ujerumani kachezewa faulo na kupoteza fahamu kwa saa mbili

Taarifa ikufikie kutoka Ujerumani anakocheza soka mtanzania Emily Mugeta katika timu ya Freund Spiel Lauffen inayoshiriki Ligi daraja la tano nchini Ujerumani, jana aliumia uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo dhidi ya Stetten Kleinngattach game ilyomalizika kwa timu yao kufungwa kwa magoli  3-1

Emily Mugeta aliumia na kupoteza fahamu baadae akajikuta hospitalini alipokuwa anapatiwa matibabu, millardayo.com imefanikiwa kumpata katika exclusive interview kutokea Ujerumani na kueleza jinsi ilivyokuwa, kwa sasa tayari ametoka hospitalini.
Cheki video ya mahojiano na Millard Ayo akiwa Ujerumani bofya hapa Ayo Tv
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s