Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi wa habari.

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake wanazungumza na waandishi, Bonyeza play hapa chini kutazama LIVE

Ukweli mchache nikwamba waliteseka sana, Roma kama muongeaji mkuu kati ya wale waliotekwa ameonyesha baadhi ya maeneo aliyo umia.

Mpaka sasa polisi wapo kwenye upelelezi.

Kuangalia video kamili bofya hapa Ayo Tv

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s