Leo Roberto Carlos anasherehekea Birthday yake jikumbushe kidogo uleee.. wakati wake

Kama ni shabiki wa soka najua utakuwa umewahi kusikia jina la staa wa kimataifa wa zamani wa Brazil ambaye aliwahi kuichezea Real Madrid ya Hispania kwa mafanikio Roberto Carlos ambaye kwa sasa ni kocha wa Delhi Dynamos ya India.

MOMqPAM4hi-res-5ba7fc1d5decac3e528a9ab4f5ac7c1b_crop_north-font-b-Roberto-b-font-font-b-Carlos-b-font-Soccer-Football-Star-Poster-Silk

Carlos hadi leo anatajwa kama ni beki bora wa kushoto wa muda wote na alikuwa mahiri katika upigaji wa mipira ya adhabu, leo April 10 2017 anatimiza miaka 44 toka azaliwe 1973 kwao Sao Paulo Brazil, jikumbushe baadhi ya matukio yake uwanjani

Kumbuka pia kwa video fupi kwa kubofya hapa Chamber

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s