Instagram: Alichokiandika Baraka baada ya kupost nyimbo mpya ya Diamond.

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazotokeea kwenye mitandao ya kijamii, Na leo April 10 2017 Kupitia ukurasa wa Instagram ya Mkali kutoka Bongoflevani Baraka the Prince ameupost wimbo mpya wa Diamond Platnumz.

Mashabiki wengi wamekuwa wakicomment kwa kushangazwa na Baraka kupost wimbo wa Diamond kwa sababu wengi  wanajua Baraka yuko kwenye lebel moja na Alikiba hivyo asingeweza kupost chochote kuhusu Diamond Platnumz, wengine wamecomment kwa kutopendezwa na post hiyo wengine wamepost kumpongeza.

barakahtheprince_Chanzo cha kutengenezewa maden na makaka poa..ila mama alinifunza kukaa kimya..eeehh mungu niokoe vita hii..#CrownPrince #IamPrince

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s