Baadhi ya Picha: Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe walivyokutana na waandishi

Siku kadhaa zilizopita msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu walipotea katika mazingira ya kutatanisha ambapo baada ya kurudi uraiani waliahidi kuzungumza siku ya Jumatatu kuhusu tukio hilo. Leo Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa na Roma Mkatoliki na wenzake walikutana na waandishi wa habari kuzungumza juu ya tukio hilo zima, hizi ni baadhi ya picha kutoka kunakofanyika mkutano huo.

3X6A89203X6A89343X6A89353X6A89363X6A89453X6A89463X6A89473X6A89633X6A89683X6A8979

Nahaya nibaadhi ya sentensi walizosema – Roma na Mwakyembe

“Hao watu walituhoji na yaliyokuwa yanaendelea tumeyaripoti, na ndio maana unaona haya majeraha’>>>Roma Mkatoliki

‘Watu waliokuja walikuwa na silaha za moto na amri yao ya kwanza ilikuwa ingieni kwenye gari’ >>>Roma Mkatoliki

‘Tukio tumeshaliripoti na upelelezi unaendelea, na upelelezi ukiwa unaendelea haturuhusiwi kusema lolote’>>>Roma Mkatoliki

‘Kuna watu wanaamini hii ni kiki, kuna wengine wanasema tunatumika kisiasa, kuna wanaoeleza kama wanajua kilichotokea’>>>Roma Mkatoliki

‘Nataka niende nikawoane watu wa upelelezi haraka tupate majibu mapema kabla sijawasilisha bajeti yangu nataka ipite bila maswali’-Mwakyembe

‘Nilishasema mara nyingi wasanii wana uhuru wa kujieleza’-Waziri Mwakyembe

‘Mimi nawathamini sana wasanii, hawa ni brand na wanapeperusha bendera ya Tanzania’-Waziri Mwakyembe

‘Hii siyo hali ya kawaida kwa Watanzania lazima tutafute chanzo chake ni nini’>>>Waziri Mwakyembe

‘Wenzetu wamesema wafanye upelelezi kwa hiyo tuwaache’>>>Waziri Mwakyembe

Angalia full video wakiwa wanaongea na waandishi wa habari kama uliikosa bofya hapa chini kuina

Millardayo&Ayo Tv

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s