Mama Moni asema hatapenda mwanae Moni afanye muziki tena.

Mama mzazi wa msanii leo akiwa anahojiwa na Millard Ayo na AYO TV, Moni Bi. Fatma Saleh ameelezea alivyolipokea suala hilo hata kufikia hatua ya kumzuwia mwanae huyo kuacha kabisa kujishughulisha na muziki akidai atakuwa radhi auze hata nyanya.

Moni na wenzie watatu akiwepo rapa Roma Mkatoliki, walichukuliwa na watu wasiojulikana wakiwa kwenye studio za Tongwe Records April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana kisha kuonekana April 8, 2017.

“Sitopenda tena mwanangu awe mwanamuziki kutokana na hili tukio. Kwanza mpaka sasa hivi natafakari kuhusu afya yake.” – Bi. Fatma Saleh.

vlcsnap-2017-04-09-21h37m54s230vlcsnap-2017-04-09-21h37m46s087

Jua zaidi kukuangalia video bofya hapa Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s