Joti andika kitu juu ya wabunge wasiojua kingereza.

Nikatika Bunge la 11, Mkutano wa 7 ambapo palikua na uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika mashariki, ilifika zamu ya mbunge huyu kuomba kura na kwa lugha ya kiingereza hapo ndipo alipo changanya habari.

Kulingana namchanganyiko huo wa lungha Msanii maarufu kwa uchekeshaji JOTI akaguswa naleo katika mtandao wa kijamii wa Instagram akaandika hivi>>>>>

jotiofficial🤣🤣kweli nimeamini (ENGLISH)ilikuja na Meli na ikaondoka na Ndege mwaka (1964)sijui hawa wazungu tuliwakosea nini jamani😔😔@ras simba@ mr.English,mko wapi??chezea yai wewe,hapo atakuwa kadondosha na vipande vya ulimi🤣🤣🤣 ;- Joti

New Picture

Cheki video kamili bofya hapa Chambers

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s