Aliyo yasema Mbunge Halima Mdee kuhusu Gwajima

Baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima leo April 9, 2017 kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana, jioni hii kupitia Twitter ya Mbunge huyo ameandika kuhusu kinachoendelea kati yake na Spika Ndugai.

Mdee ameandika >>>

’Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.<<<<

>>Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO.<<<

New Picture (2).jpg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s