VIDEO: Msanii kutoka Ubelgiji amekuja Tanzania kufanya collabo na Harmorapa

Staa kutoka wa Bongofleva Harmorapa ameendelea kutrend kwenye headlines mara hii akiingia studio kwa ajili ya kufanya collabo ya kimataifa baada ya kumleta nchini staa wa muziki kutoka Ubelgiji Kriticos.

Kriticos ni msanii kutoka Ubelgiji mwenye asili ya Tanzania na Zambia amefika nchini kufanya kazi na Harmorapa ambapo leo April 7, 2017 walipata nafasi ya kuzungumza na AyoTV Entertainment

Cheki video kwa kubofya hapa AyoTV Entertainment

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s