SIKU YA AFYA: Zimetajwa hizi kuwa ndiyo nchi zenye wananchi wenye afya duniani

April 7 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Afya ambapo leo ni April 7, 2017 nimeona siyo vibaya nikikusogezea list ya nchi 25 zenye wananchi wenye afya nzuri zaidi duniani.

Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani 2017, Bloomberg Health Index imeziorodhesha nchi 25 zenye wananchi waliokuwa na afya nzuri ambapo Italia imetajwa kama kinara kwa kuwa na wananchi wenye afya na wanaoishi kwa miaka mingi hadi kufikia miaka 100.

 Sierra Leone imetajwa pia kuwa miongoni mwa nchi zenye wananchi wasio na afya duniani na kwa mujibu wa list hii nchi zilizotajwa zinaongoza kwa kuwa na asilimia chache ya vifo kwa mwaka huku zikiwa na hospitali za kutosha, asilimia ndogo ya magonjwa ya kuambukiza na wananchi wake huishi miaka mingi ukilinganisha na nchi nyingine.

Capture88888888888888888888888888888888888HEALTH

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s