Marekani imesababisha bei ya mafuta kupanda duniani ndani ya saa 24

94c6462ed2db6b7c629641727aa4fc15.jpg

Saa chache baada ya shambulizi la Marekani nchini Syria katika kambi ya jeshi ya Tomahawk, bei ya mafuta duniani imepanda kwa zaidi ya 2%, bei imetajwa kuongezeka hadi kufikia dola 56 kwa pipa badala ya dola 55.70 ya awali huku thamani ya dola ikishuka kwa 0.5 kwenye baadhi ya masoko ya fedha.

Taarifa iliyochapishwa kwenye BBC World News ni kuwa bei ya mafuta imepanda duniani ndani ya saa 24 baada ya Marekani kuishambulia kambi hiyo na kuzifanya nchi zinazozalisha mafuta kusitisha zoezi la kusafirisha bidhaa hiyo kwa hofu ya machafuko.

Shambulio hili linakuwa la kwanza kufanywa na Donald Trump tangu achaguliwe kuwa Rais wa Marekani November 2016

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s