Trump: Mtazamo wangu dhidi ya Rais Assad na Syria umebadilika sana

Rais wa Marekani Donald Trump amelielezea shambulio la kuhusisha gesi yenye kemikali zenye sumu dhidi ya watu wakati wa mashambulizi ya anga kaskazini mwa Syria kuwa ni tukio lisilo la kibinaadamu.

Marekani na mataifa mengine ya magharibi yamemshutumu Rais wa Syria, Bashar Assad na serikali yake kwa kile walichodai shambulio la kutumia silaha za kemikali la siku ya jumanne mjini Khan Sheikhoun.

Trump amesema vifo vya watoto vimebadili mtazamo wake kwa Assad.

Haki miliki ya pichaAFP
Image captionmtoto aliyeathirika katika shambulio la kemikali

”na nitakueleza, kuwa shambulio lile dhidi ya watoto limenifanya niwe na mtazamo mwingine. Ni kitu cha kutisha inatisha sana, na nimekuwa nikifuatilia na kutazama, hakuna namna nyingine zaidi naweza kusema, imekwishatokea kuwa sasa mtazamo wangu kwa Syria na Assad umebadilika sana.”

Marekani, Uingereza na Ufaransa, zote zimemshutumu mshirika wa Serikali ya Syria kwa kile kilichotoka katika mji wa Khan Sheikhoun.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s