HEKA HEKA: Kuhusu Kijiji chenye Fisi wengi na Mti unaopiga shoti Shinyanga

Hekaheka ya leo April 6 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea katika kata ya Imesela mkoani Shinyanga ambako kulikuwa na tatizo la wanafunzi kukumbwa na mapepo wakati wa masomo, lakini sasa unaambiwa mbali na tukio hilo ambalo lili-make headlines kuna tukio lingine.

Katika kijiji hicho kunadaiwa kuwepo Mti ambao ukiukaribia unapiga shoti ukidaiwa kuwa na mapepo ambayo wanafunzi wamekuwa wakiongea nayo kupitia mti huo wanapokumbwa na mapepo huku pia kijiji hicho kikiwa na Fisi wengi wanaochukuliwa kama paka na wanakijiji.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full story…

Millardayo.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s