Tanzania kuwa na watu 200m ifikapo mwaka 2100, ya tatu Afrika

Nchi ya Tanzania imetajwa itakuwa na watu wapatao 299.133 million ifikapo mwaka 2100 wakati ambapo idadi ya watu Duniani ikitarajiwa kufikia 11.2 billion, kwa mujibu wa makadirio ya UN Population Division.

Hadi kufikia mwaka 2100 ambao utakuwa mwisho wa Karne ya 21, Bara la Afrika litaendelea kuongeza idadi ya watu ambapo kwa mujibu wa makadirio hayo mwaka huo Afrika itakuwa na watu zaidi ya 4 billion, ā€˜39%ā€™ ya watu wote Duniani ikiingiza nchi 9 katika Top 20, lakini ikiwa na nchi 5 katika Top 10 ya nchi zitakazokuwa na watu wengi zaidi Duniani.

Bara la Asia litakuwa na 44% ya watu wote Duniani wakati idadi ya watu Bara la Ulaya ikipungua hadi kufikia 6%, Amerika ya Kaskazini itakuwa na 4%, Latin Amerika 6% na Oceania 1%.

maxresdefault-(1).jpg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s