Tamko la Rais Kenyatta kuhusu madaktari waliokuwa wamegoma Kenya

kenya-doctor-strikeLeo April 5 2017 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuwa madaktari waliokuwa katika mgomo walipwe mishahara yao yote ya kipindi cha miezi mitatu bila kujali kuwa walikuwa wamegoma hii ni baada ya katibu Mkuu wa chama cha madaktari kuitaka serikali iwalipe mishahara yao ya tangu December 2016.

Wakati akihutubia mkutano wa chama cha Jubilee uliofanyika katika kaunti ya Kiambu Rais Uhuru Kenyatta aliwataka madaktari kutogoma tena kwani hatokuwa na huruma kwa wakati mwingine.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s