Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge.

April 4, 2017 ulifanyika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki ambapo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi huo Bungeni mjini Dodoma.

Mmoja wa wagombea alikuwa ni Makongoro Nyerere ambaye style yake ya kuomba kura ilisababisha wabunge wengi kuanza kucheka kila muda alivyokuwa akiongea na nipale ambapo alianza na kuwasalimia (Shkamoo) viongozi wakuu wa bunge na ndani ya dakika tatu alizopatiwa alisema alikua anataka kugombea uraisi wa Tanzania. Angalia Full video kupitia Ayo TV, bofya hapa Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s