RADIO & TV; Msichana wa kazi aliyetaka kumuua mtoto wa boss wake kwa uchawi

Leo Tena ya Clouds FM April 5, 2017 mtangazaji Geah Habibu ametufikishia Hekaheka ya msichana wa kazi anayedaiwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina kufanya kazi za ndani katika mitaa ya Tabata jijini Dar es Salaam.

Msichana huyo anadaiwa kujihusisha na vitendo hivyo vya kishirikina ambapo inadaiwa kuwa boss wake wa kike alimshtukia na kuamua kumpeleka Kanisani kufanyiwa maombi ambako alikiri kujihusisha na vitendo hivyo akisema alikuwa anatumia uchawi kufanya kazi za ndani na kushirikiana na wachawi kwa leongo la kumuua mtoto wa kwanza wa boss wake ifikikapo April 10.

Icheki habari hii kwa video kupitia MillardAyo na Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s