Mpango wa Morocco kuhusu uwekezaji Tanzania

Maroc Export na BMCE Bank ya Afrika leo zimezindua kongamano la ‘African Business Connect 2017’ kwa upande wa Tanzania likiwa limehudhuriwa na zaidi ya washiriki 300 kutoka Tanzania na Morocco.

 

Dhumuni kuu la mkutano huo ni kuiwezesha Morocco kuunganisha uchumi wake katika uchumi wa Afrika pia kuunganisha fursa za biashara za Tanzania kwa kuibua maeneo ya ushirikiano baina ya nchi hizi katika nyaja za umeme/nishati mbadala, uagizaji na usafirishaji wa bidhaa, ujenzi, usafiri, mawasiliano ya simu, fedha na mengine.

Kongamano pia lilitoa fursa ya kusaini mkataba wa makubaliano ya Ushirikiano kati ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania na Kituo cha Kuhamasisha Uwekezaji Morocco. Katika kongamano hilo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk.Khalid Salum Mohammed.

Unaweza kubonyeza hapa chini kuitazama

Millardayo.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s