Dayna Nyange ameshinda tuzo mbili nchini Nigeria

 

Leo April 5 2017 inaweza kuwa siku nzuri sana katika maisha ya msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange baada ya kushinda tuzo mbili za BAE Awards 2017 nchini Nigeria akishinda Best Vocal Performance Female na Best African Artiste.

Baada ya kushinda tuzo hizo, Dayna aliamua kushare habari hizo nzuri na mashabiki wake kupitia account yake ya Instagram…>>>“Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru wotee🙏Mliokesha mkiniombea, mlikesha mkihamasisha, mlikesha mkinipigia kura. Hatimaye tumefanikiwa kutwaa tuzo zote mbili nchini Nigeria.BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE & BEST AFRICAN ARTISTE.

“Ahsanteni sana mashabiki zangu, ahsanteni sana Wadau wangu, ahsanteni sana Media zote, watangazaji, waandishi, na ma dj. Ahsante sana producer wangu@mrttouchez shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu.

“Sote tuliacha kazi na tukafanya kazi moja tu na hatimaye Matunda ni haya.🏆Sijashinda mimi tu @daynanyange bali imeshibda Tanzania na Afrika kwa ujumla
#JuhudiZimezaaMatunda Mungu awabariki sana.” – Dayna Nyange.

a

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s