‘Natamani siku moja nirudi shule kusoma’- Dogo Janja

Ni April 4, 2017 ambapo mkali Dogo Janja alikutana na Millardayo kupitia Ayo TV na kufunguka jinsi anavtotamani kurudi shule kuendelea na masomo yake.

Akizungumza na Ayo TV staa huyo aliyaongea haya…>>>>Kitu ambacho ninakitamani sana nikurudi Shule yaani inaniumiza sana kuna moment ambazo nikijiandaa nawahi shule mara naanda nguo zangu na pia mipango ya kurudi ipo ila sio kwasasa kwasababu kuna vitu ambavyo vinaingilia kwani mtu ukihitaji kusoma lazima niwe nime relax, kusoma nitasoma tu Elima haina mwisho’- Dogo Janja

Cheki video ya Dogo Janja wakati akihojiwa na Millardayo bofya hapa Ayo TV

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s