Kampuni ya udalali YONO ambao ni wakala wa TRA yatangaza kurejesha gari la timu ya taifa kwa TFF

TFF leo tarehe Aprili 4 saa tano usiku yaandika katika twitter na kutoa taarifa ya kurujeshwa kwa gari la tomu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17.

Nathibitisha kuwa Kampuni ya Udalali ya Yono ambayo ni Wakala wa TRA imetangaza kuliachia gari mara moja basi linalotumiwa na wachezaji wa Serengeti Boys na wameomba nilifuate hata sasa, usiku huu. Wamefuata amri ya TRA. Tutalifuata asubuhi, ili liendelee na shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwapeleka vijana wetu Airport kuwahi ndege kwani vijana wetu wanatarajia kuondoka jioni. Pia, TFF inampa pole nyingi Bw. Yono Kivella ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Njombe kwa msiba mkubwa uliompata. Inamtakia safari njema usiku huu na kuwahi mazishi ya mpendwa wake>>>> TFF

New Picture (2).jpg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s