Sarafu ya Queen Elizabeth yaibiwa huko Ujerumani

Sarafu ya Dhahabu yenye mchoro wa Queen Elizabeth na thamani ya Dola Milioni 4.5, imepotea katika Jengo kuu la makumbusho huko Berlin Ujerumani  Siku ya jumatatu tarehe 27 Machi 2017, 


Polisi wanasema wezi walivunja jengo kuu la makumbusho hapo Berlin nakuiba sarafu yenye uzito wa kilo 100 (100kg)  ambayo inaweza kubebwa na watu watatu au zaidi kwa uzito wake.

Msemaji wa makumbusho hayo Mr. Stefen Petersen alisema wezi walivunja dirisha dogo mida ya saa 9:30 usiku nakuzima kamera zote za ndani nakufanikiwa kuondoka na sarafu hiyo yenye mchoro wa Queen Elizabeth kabla walizi wa jengo hilo kufika, walinzi walipofika walikuta ngazi pekee ambayo ilitumika kupanda ili kufikia dirisha dogo.

Sarafu hiyo za dhahabu inaupana wa (inch 11.5) na kipenyo cha sentimita 53 (53cm) na inaonekana kuwa na thamani ya Dola milioni 1 ($1m) lakini kwasoko la sasa inaweza kufikia hata thamani ya Dola milioni 4.5 ($4.5m)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s