Hassan Ali Joho amabae ni Gavana wa jimbo la Mombasa huko Kenya, Serikali ya Kenya sasa inamuandama gavana huyo kwa kumshuku na vyeti vyake vya kidato cha nne.
Hassan Ali Joho ni mwanasiasa wa Kenya kuviimarisha na Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Kisauni katika Bunge la Kenya wakati wa uchaguzi wa ubunge wa Kenya.
Advertisements