Nick wa Pili afafanua maana ya wimbo wa ‘Ya Kulevya’

Leo March 28 2017 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM wasanii wanaounda kundi la Weusi wamefunguka rasmi kuhusu maana halisi ya wimbo wao mpya wa ‘Ya kulevya’ na kusema wimbo huu unamzungumzia baba wa familia kama kiongozi aliyepewa dhamana ya kuiongoza familia na si kama wengine wanavyofikiria tofauti.

Niki wa Pili

“Inamzungumzia baba wa familia kama kiongozi aliyepewa dhamana ya k uiongoza familia, mama na familia imempenda sana baba, kawaida ya baba akipendwa anachukulia poa, upendo umemlevya baba anaanza kufanya mambo yasiyofaa, anakuwa mtu wa ‘totoz’au Kiki”

”Msanii ni zao la mazingira yake tumetumia maneno yanayozunguka sasa hivi tumeyatoa kwenye ‘muktadha’ yake tumeyaleta kwenye wimbo wetu tukatoa kitu”

Hata hivyo Weusi wamewaahidi mashabiki zao kuwa watawaletea Video mpya ya wimbo huo soon

Pekua wimbo hapa

News source millardayo.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s