Ndege yenye kasi zaidi duniani kutengenezwa, Australia hadi Marekani zitatumika saa sita

Kampuni ya Boom Supersonic’s XB-1 ambayo imeanza kutengeneza ndege ya kwanza yenye kasi zaidi duniani ambayo itaweza kumsafirisha mtu kutoka Bara la Australia mpaka America ya Kaskazini kwa muda wa saa sita tu.

Utengenezaji wa ndege hiyo utagharimu zaidi ya Dola million 329 za Marekani na inatarajia kukamilika mwaka 2020 ambapo CEO wa kampuni hiyo Blake Scholl aliiambia Daily mail kuwa ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kuruka umbali wa zaidi ya futi 60,000 kutoka usawa wa Bahari ambao ni umbali mrefu sana ukilinganisha na ndege za kawaida.

Ndege hiyo itakuwa na kasi zaidi ya Concord ambayo inajulikana kama ndege yenye kasi zaidi duniani na itakua na seat 45 na safari zake zitagharimu Dola 6,600 za Marekani na itaweza kumsafirisha mtu kutoka Japan mpaka San Francisco kwa muda wa saa tano tu wakati ndege ya kawaida husafiri kwa zaidi ya saa 10 na dakika 48.

 

Source millardayo.com

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s