HamoRapa:- Naweza kumhudumia Wema Sepetu kwenye mapenzi;

Msani chipkizi wa bongo fleva Hamo Rapa akihojiwa na Ayo Tv ya Millard Ayo, nakutaja mastaa watano wakike anaotamani kuwaoa au kuanao kimapenzi kwa kutaja sifa zao zilizofanya avutiwe nao.

Hamo Rapa

“Mastaa watano ambao labda natamani kuwaoa au kuanao kimapenzi mojawapo ni Wema Sepetu (Makalio, macho na Figure yake), Lulu ( Macho ), Tunda (Macho), Jokate (Macho na kashape), Iren Uwoya (Mashavu)”

Nahapo hapo alikazia zaidi akisema anaweza kumuhudumia Wema Sepetu kwa kila kitu,

Hamo Rapa

“Yah! minaweza kusema naweza nikammudu Wema, nnauwezo hata wakumlisha, kumvisha, usafiri na hata mahali pazuri pakuishi.”

Angalia video kutoka kwa Millard Ayo

Source Ayo TV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s