Teknolojia mpya ya kutumia Wifi kwa kulipia.

Kampuni moja ijulikanayo SOL Solution of Life ya huko Uingereza imegundua kifaa kipya kiitwacho Tap Coin WiFi  kinachoweza kutoa huduma ya internet kwa njia ya Wifi, kifaa hicho kina mruhusu mtu kuunganisha internet kwenye simu yake kwa kugusanisha simu yake kwenye kifaa hicho na kulipia kwa sarafu na baada ya hapo simu yako inakua na internet kulingana na hela uliyo lipia.

 

Kifa hicho ninaweza kutumika katika maeneo ya wazi, Hotel, Migahawa na hata nyumbani.

Jua zaid kupitia Wifibrother na kwa video Wifibrother

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s