Music Event – Arusha (SUA)

                      14263067700_532135b2f1_o

Fuatilia Event kali inayotokea mara moja tu kwa mwezi
ni A-Town City maeneo ya Kijenge Juu kwa #Watengwa siku ya jumapili tarehe 26/03/2017
Hufanyika kila jumapili ya mwisho wamwezi
Hapatakuwa na #KIINGILIO ni wewe na miiguu yako machoyako kuona #BreakDances #Graphit #Frestyl na burudani nying za muziki wa HipHop

Muda ni saa 08:00 Mchana – 12:00 Jioni 

Nimichanooooo ya Hatareeeee!!!!!!!!!!!

Cheki namimi kwa Facebook The Clever Chamber

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s