Alichoongea Nape Nnauye kwa mara ya kwanza toka avuliwe Uwaziri

8d814473-0c34-460d-86cb-890a3f195859

Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache kabla ya taarifa kutoka IKULU kutangaza kwamba nafasi yake ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, hii video hapa chini ni sehemu tu ya ilivyokua.

Nikimnukuu sentensi chache;

Nani amekuja mamlaka hayo? unalipwa kwa kodi ya kwetu unakuja na bastola inakuaje? unajua tumepigana kiasi gani kwaajili ya nchi hii? #NAPE

Mnajua nimeenda miezi 28 nalala porini angalieni mkono wangu! nimepigana kuirudisha CCM madarakani anakuja mpuuzi anatoa bastola

Mnataka mtuonee? hapana mimi mtoto wa kimakonde sasa naomba mnisikilize mimi Nape sina kinyongo na uamuzi wa Rais wangu #NAPE

Angalia Video kupitia Millard Ayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s