Wayne Rooney na mke wake, Coleen watarajia mtoto mwingine

Mke wa Wayne Rooney, Coleen mwenye miaka 31 ametangaza habari hizo kwa wafuasi wake 1.25 milioni kwenye Twitter na kusema kwamba anaweza kuwatangazia watu kwani amepimwa na kuchunguzwa vyema. Mrembo huyo Ijumaa hii kupitia twitter ameandika: “Nina furaha sana!!! ….. Sijawahi kukanusha habari hizi, lakini nilikuwa ninazilinda vyema!! Nimepimwa & na kuchunguzwa na kila kitu…